Saturday, February 7, 2009

watoto na michezo ya hatari

Baadhi ya Watoto katika vijiji vya Galijembe na Igalukwa katika Wilaya ya Mbeya wakicheza michezo ya hatari kwa kupanda miti kuchuma Matunda bila kujali hatari ya kuanguka huku wengine wakipigana mateke.
Michezo ni sehemu muhimu katika maisha ya Mwanadamu, lakini baadhi ya michezo inayofanywa na watoto ni hatari kwa afya na maisha. Wazazi na Walezi ni muhimu kuzingatia na kuwashauri watoto aina ya michezo ambayo si hatari kwa hatari kwa maisha yao.

2 comments:

  1. Umejisahau wakati ukiwa kama hao watoto nawe ulikuwa unacheza michezo hatari zaidi ya hiyo, unakumbuka ulivyomeza shilingi hadi Mama Jose akachanganyikiwa akakukimbiza Hospitali kukutapisha ile shilingi?michezo aina hii kwa watoto ni kawaida yao isipokuwa watu wakubwa wanatakiwa kuwaelekeza aina ya michezo inayofaa na ile ambayo haifai.

    ReplyDelete
  2. Umesahau jinsi ulivyokuwa na michezo ya hatari ulivyokuwa mdogo wakati ule unakumbuka ulivyomeza shilingi hadi Mama Jose akapata tabu ya kukukimbiza Hospitali ya Rufaa?okey hata hivyo inabidi watoto waangaliwe aina ya michezo wanayocheza ambayo ina manufaa kwao si kama ule mchezo wa kujificha uliokuwa ukiufanya ukataka siku moja kujificha katika lindi la choo, nusura utumbukie chooooni!!!! kudadadeki ungekiona cha mtema kuni

    ReplyDelete