Tuesday, February 3, 2009

Utalii- Lake Masoko

Watoto wakicheza kando ya Ziwa Masoko.
Wanasayansi wakiwa wamezuru ziwa hilo kwa ajili ya kufanya tafiti mbalimbali za kisayansi. ***** Lake Masoko, moja kati ya maziwa yenye vivutio vingi vya utalii na historia za ajabu kabisa. Ziwa hili linadaiwa kuwa lina vitu vingi vya thamani ambavyo vilitupwa na wajerumani walipokuwa wanawakimbia waingereza wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia. Lake Masoko ni perfect place kwa kuogelea, kuweka kambi, kufanya picnic.Karibu Mbeya na hususani wilayani Rungwe ili uweze kuifahamu vilivyo historia ya ziwa hilo ambalo ni la pekee.

No comments:

Post a Comment