Sunday, February 22, 2009

Hawa nao ni Watanzania

Hawa ni Watanzania waishiyo wilayani Mbarali, kwa shida ya Maji hawatofautiana sana na wenzao wa linaloitwa Jiji la dar es Salaam. Watoto hawa walikutwa wakichota maji katika kisima kilichochimbwa ndani ya mto uliokauka maji.

1 comment:

  1. Duh, hii Mbeya kwenye ziwa kuubwa na mito kibao, sipati picha Dodoma na Singida hali ikoje!

    ReplyDelete