
ALIYEKUWA MKUU WA UTUMISHI NA UTAWALA WA BENKI KUU AMATUS JOACHIM LIYUMBA, inasemekana ameingia mitini baada ya kupewa zamana ya kiwango cha chini tofauti na matakwa ya mahakama iliyotaka atoe bilioni 50 ili apate dhamana.
Tetesi zinadai kuwa waliomwekea dhamana mtuhumiwa huyo wa matumizi mabaya ya ofisi wanashikiliwa na polisi huku tetesi zaidi zikidai kuwa pilato aliyemwachia huru kwa dhamana naye yupo msambweni ili ajieleze.Tuwe wavumilivu tukisubiri habari kamili kama
Wewe ndio blogger wa kwanza Tanzania kuipublish hii kitu, wengine walikua waoga wanaona kama uongo. ukiendelea hivi utakua pouwa, as long as unaweka maneno yatakayo kuokoa kama 'inasemekana', 'tetesi zisizo za uhakika'...
ReplyDelete