Kupitia blog hii utapata nafasi ya kuyajua mambo yanayojiri kila siku katika Mkoa wa Mbeya zikiwemo, habari mbalimbali zinazohusu jamii, matukio, na tetesi mbalimbali. Pia kupitia blog hii tutajadili masuala mbalimbali ya maendeleo yanayohusu Mkoa wa Mbeya.
Monday, February 9, 2009
tetesi mitaani
Zipo tetesi zimeenea kwa takribani siku tano sasa katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya, kuwa Mfanyabiashara mmjoja alimfumania mfanyabiashara mwenzake akiwa na Mkewe.
Inadaiwa kuwa mfanyabiashara huyo alikusanya kundi la mabaunsa la baunsa na kumfanyia kitu mbaya mfanyabiashara mwenzake na kumpiga picha. Tetesi zaidi zinadai mfanyabiashara aliefumaniwa alilipishwa shilingi milioni tano ili picha zisisambazwe.
Cha Kujiuliza; Wanaume tumekuwa tukichukua uamuzi mkali pindi tunapohisi au kuthibitisha kuwa wake zetu wanatoka nje ya ndoa, Lakini swali la kujiuliza wewe Mwanaume una wanawake wangapi nje ya ndoa yako, mbona mume akifumaniwa na mkewe bado anatema kibezi.
naomba michango yenu je ni haki kwa mume kuwa mkali anapofumania ama kufumaniwa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment