Wednesday, February 25, 2009

Usalama kwanza

Mkono wa kushoto ni kibao kinachoonyesha kuwa magari hayaruhusiwi kuingia barabara ya kulia na kwamba inaruhusu magari yanayotoka tu.
Dereva wa gari aina ya Rav 4 akivunja sheria kwa makusudi kwa kuingia katika barabara isiyoruhu magari kuingia huku mbele yake kukiwa na gari la kikosi cha usalama barabarani linalotaka kutoka.
Askari wa Kikosi cha usalama barabarani akijaribu kufungua mlango wa gari lililovunja sheria za usalama huku gari lingine likiingia barabarani kwa kufuata sheria.
Askari wa kikosi cha usalama barabarani akiingia kwenye gari tayari kwa kumpeleka kituoni dereva wa gari lililovinja sheria za usalama barabarani

1 comment:

  1. He! jamani Osama bin Laden ameonekana Mbeya, tena mbaraga zimemnenepesha huyo, sijui kama Bush atamtambua hata akitokea mbele yake!

    ReplyDelete