Kupitia blog hii utapata nafasi ya kuyajua mambo yanayojiri kila siku katika Mkoa wa Mbeya zikiwemo, habari mbalimbali zinazohusu jamii, matukio, na tetesi mbalimbali. Pia kupitia blog hii tutajadili masuala mbalimbali ya maendeleo yanayohusu Mkoa wa Mbeya.
Sunday, February 22, 2009
Hawa nao ni Watanzania
Hawa ni Watanzania waishiyo wilayani Mbarali, kwa shida ya Maji hawatofautiana sana na wenzao wa linaloitwa Jiji la dar es Salaam. Watoto hawa walikutwa wakichota maji katika kisima kilichochimbwa ndani ya mto uliokauka maji.
Duh, hii Mbeya kwenye ziwa kuubwa na mito kibao, sipati picha Dodoma na Singida hali ikoje!
ReplyDelete