
Gari lililoshiriki kampeni za uchaguzi wa Jimbo la Mbeya vijijini likiteketea kwa moto, gari hilo linalomikiwa na studio H. ya Jijini hapa ambalo limekuwa likitumika kwa shughuli mbalimbali za matangazo ikiwa ni pamoja na ziara za viongozi wa Kitaifa
Mmmh, si bure lazima kuna mkono wa mtu hapa, kama si mkono basi mguu, ila lazima kuna kipapai. afu Mbeya si kuna makanisa mengi sana, wangeleta mchungaji mmoja aje aombee hapo moto ungezimika ghafla na gari lisingeteketea, ila kosa ni kuleta hiyo zima moto ya kisasa wakati moto wa ki-ndumba!
ReplyDelete