Kupitia blog hii utapata nafasi ya kuyajua mambo yanayojiri kila siku katika Mkoa wa Mbeya zikiwemo, habari mbalimbali zinazohusu jamii, matukio, na tetesi mbalimbali. Pia kupitia blog hii tutajadili masuala mbalimbali ya maendeleo yanayohusu Mkoa wa Mbeya.
Saturday, March 14, 2009
Namna ya Kukomesha wezi ktk ATM
Unaweza ukawa umeingia katika ATM machine kwa lengo la kujichukulia vijisenti vya matumizi wiki end hii, lakini ghafla jizi likakufuata na kukulazimisha uchukue fedha.
Usibishane nalo maana laweza kukuzuru, unachotakiwa kufanya ni kuingiza namba zako za siri kinyume, kwa mfano namba yako ya siri ni 2009, unachofanya ni kuandika 9002, fedha zitatoka lakini nusu zitakwama kwenye machine na itapiga alam itakayowajulisha polisi bila jizi kujua hadi linakamatwa labda liwe janja likurupuke
Mfumo huo umetengenezwa kwa lengo la kutoa msaada endapo kutatokea hatari yoyote.source Feedbitz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kiukweli hii sio kweli, unapopata mails kama hizi ni vizuri ukizicheck kwenye website maalum kwe ajili ya kucheck uongo wa kwenye internet kama hii itakulink moja kwa moja wanapozundumzia ishu hii ya ATM. ttp://www.snopes.com/business/bank/pinalert.asp
ReplyDeleteJIANG.