Kupitia blog hii utapata nafasi ya kuyajua mambo yanayojiri kila siku katika Mkoa wa Mbeya zikiwemo, habari mbalimbali zinazohusu jamii, matukio, na tetesi mbalimbali. Pia kupitia blog hii tutajadili masuala mbalimbali ya maendeleo yanayohusu Mkoa wa Mbeya.
Thursday, March 5, 2009
Wafahamu watangazaji wa Mbeya fm redio
Mtangazaji wa Mbeya fm Redio akiwa kazini
Timu ya watangazaji ya Mbeya fm redio wakiwa katika picha ya pamoja kwa pozi tofauti na tabasamu pana
Napenda hii kweli!!!!Kumbe Mbeya tuna FM radio siku hizi??? Nilikuja hapo Mbeya week tatu zilizopita,mimi kwetu ni huko na sasa nipo CHina....Nitajitahidi pitia hii Blog mara kwa mara.Kwa mawazo yoyote tuwe tunaambiana... My Email:johngwakisa@yahoo.com
Napenda hii kweli!!!!Kumbe Mbeya tuna FM radio siku hizi???
ReplyDeleteNilikuja hapo Mbeya week tatu zilizopita,mimi kwetu ni huko na sasa nipo CHina....Nitajitahidi pitia hii Blog mara kwa mara.Kwa mawazo yoyote tuwe tunaambiana...
My Email:johngwakisa@yahoo.com