Kupitia blog hii utapata nafasi ya kuyajua mambo yanayojiri kila siku katika Mkoa wa Mbeya zikiwemo, habari mbalimbali zinazohusu jamii, matukio, na tetesi mbalimbali. Pia kupitia blog hii tutajadili masuala mbalimbali ya maendeleo yanayohusu Mkoa wa Mbeya.
Saturday, January 31, 2009
vijana
Vijana wa CCM wakijivinjari katika Mitaa ya Jiji la Mbeya wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbeya Vijijini
oya kijana hebu update blog hii, ina maana huko mbeya hamna breaking news, yani hamna hata mafisadi mnaowapeleka kisutu ya huko? hata matokeo ya prisons hujaweka. acha kututania bwana, watu tunatembelea kila siku, tupe kitu kipya! na wikend hakuna happenings zozote? basi tuwekee hata warembo wa huko maana naskia uko kuna mashep na mamiguu ya kufa mtu, tunataka tuyaone basi...
Karibu sana kamanda. Hivi macho yako hayakuweza kuchungulia ndani ya yale masanduku yaliyokuwa yakizurura mitaani, kuwa mlikuwa na nini?
Macho yako hayakuweza kuona kama kulikuwa na kamchezo fulani katika suala zima la yule mgombea aliyeenguliwa eti kisa fomu zake zina mapungufu, ilhali ni mwanasheria kitaaluma?
Hivi macho yako hayakuona kuwa nguvu kubwa ambayo CCM waliitumia katika uchaguzi huo, licha ya kutokuwa na mpinzani wa dhati, ni ishara ya kuwa wanatishwa na vivuli vyao?
oya kijana hebu update blog hii, ina maana huko mbeya hamna breaking news, yani hamna hata mafisadi mnaowapeleka kisutu ya huko? hata matokeo ya prisons hujaweka. acha kututania bwana, watu tunatembelea kila siku, tupe kitu kipya!
ReplyDeletena wikend hakuna happenings zozote?
basi tuwekee hata warembo wa huko maana naskia uko kuna mashep na mamiguu ya kufa mtu, tunataka tuyaone basi...
Karibu sana kamanda. Hivi macho yako hayakuweza kuchungulia ndani ya yale masanduku yaliyokuwa yakizurura mitaani, kuwa mlikuwa na nini?
ReplyDeleteMacho yako hayakuweza kuona kama kulikuwa na kamchezo fulani katika suala zima la yule mgombea aliyeenguliwa eti kisa fomu zake zina mapungufu, ilhali ni mwanasheria kitaaluma?
Hivi macho yako hayakuona kuwa nguvu kubwa ambayo CCM waliitumia katika uchaguzi huo, licha ya kutokuwa na mpinzani wa dhati, ni ishara ya kuwa wanatishwa na vivuli vyao?
Haya.......sisi tupo
karibu sana kamanda..... tunatarajia kuwa macho yako yataona zaidi na zaidi
ReplyDelete