Kupitia blog hii utapata nafasi ya kuyajua mambo yanayojiri kila siku katika Mkoa wa Mbeya zikiwemo, habari mbalimbali zinazohusu jamii, matukio, na tetesi mbalimbali. Pia kupitia blog hii tutajadili masuala mbalimbali ya maendeleo yanayohusu Mkoa wa Mbeya.
Friday, August 7, 2009
Ludewa bwana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
aisee inaniuma sana izi hali..nataka sana niende uko nitoe msaada wangu wa makini..sasa sijajua naazaje!!namwona mwenyekiti au mkuu wa wilaya au nani,,,nataka niwasaidie watoto wasiojiweza na familia za wabibi wanaoishi na watoto wasiojiweza either wenye virus au maskini sana nk
ReplyDeleteKushangaa hata mjini kupo, pia ni vyema ukasema baiskeli za miguu mitatu tena colapsible. Manda nimefika na kuna baskeli nyingi sana na pia kumbuka makao makuu ya wilaya ya Ludewa yalianzia Manda, sasa kweli makao makuu ya wilaya for 5 years hayakuwa na baiskeli???
ReplyDeleteKuwa mkweli!