Friday, August 7, 2009

Ludewa bwana

Wakati huku mijini watoto wanashinda kwenye luninga, huku wengine wakitanua katika magari ya familia zao, huko Manda wilayani Ludewa kando kando kabisa ya ziwa nyasa, miundo mbinu mibovu na kusikofikika wakati wa mvua, watoto walikuwa hawajawahi kuona Baiskeli na shirika lisilo la Kiserikali la Cocoda la MkoaniIringa linaloshughulika na watoto yatima na wanaoishi katika mazingirsa magumu lilipeleka Baiskeli na vitu vingine, watoto walizizunguka huku wakizishangaa
Ni kama hawaamini kile wanachokiona, wao wanajua mitumbwi tu hakuna zaidi

2 comments:

  1. aisee inaniuma sana izi hali..nataka sana niende uko nitoe msaada wangu wa makini..sasa sijajua naazaje!!namwona mwenyekiti au mkuu wa wilaya au nani,,,nataka niwasaidie watoto wasiojiweza na familia za wabibi wanaoishi na watoto wasiojiweza either wenye virus au maskini sana nk

    ReplyDelete
  2. Kushangaa hata mjini kupo, pia ni vyema ukasema baiskeli za miguu mitatu tena colapsible. Manda nimefika na kuna baskeli nyingi sana na pia kumbuka makao makuu ya wilaya ya Ludewa yalianzia Manda, sasa kweli makao makuu ya wilaya for 5 years hayakuwa na baiskeli???
    Kuwa mkweli!

    ReplyDelete