Saturday, March 20, 2010

usafiri wetu

Hii ndio Tanzania bwana, wakati watu wanasafiri na magari ya kifahari ikiwemo VX, Lexus na mengine unayoyajua, Hii ni chunya na huo ndio usafiri wenyewe.
Ndio Maisha yenyewe haya

No comments:

Post a Comment